Wasanii

Linah Avunja Ukimya, Aandika Ujumbe Huu hapa

on

Tangu mwimbaji wa kike wa Bongofleva Linah Sanga kujifungua mtoto wa kwanza July 25, 2017, kwa mara ya kwanza leo September 3, 2017 ametumia Ukurasa wake wa Instagram kutuonyesha muonekano wa Mtotowake kwa kupost picha ya mtoto wake huyo ambaye tangu alipozaliwa hakuwahi kufanya hivyo.Katika picha hiyo Linah ameandika ujumbe ufuatao:-
“Hello there so y’all were curious to see my lil Angel ayt??…. Now here we go, meet Tracey Paris my beautiful princess….. @paristraceyparis @kids_cityshopping”.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply