Video

Kwa Video hii Je Nay wa Mitego anachezea Sharubu za BASATA?

on

Leo Septemba 4, 2017. Rapa Kutoka Free Nation hapa namzungumzia Nay wa Mitego ameachia Video yake Mpya inayokwenda kwa Jina “MAKUzi”. Audio ya Wimbo huo umetayarishwa na Mtayarishaji OSAM huku video hiyo ikiongozwa na Muongozaji DEO ABEL.Kwa kufuata maudhui ya Video hiyo imekaa kitofauti na endapo kama Basata wakiitazama kwa Jicho lingine yanaweza kumkuta kama yaliyomkuta awali kwa video hiyo kufungiwa.

Hebu Icheki Hapa Kisha Toa Maoni yako hapo Chini.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply