MICHEZO

VIDEO :: Matokeo ya Mbeya City dhidi ya Simba SC, Lipuli Dhidi ya Mwadui

on

Klabu ya Mbeya City ikiwa Nyumbani imekubali kipigo cha Goli moja kwa Bila kutoka kwa Simba Sports Club wenye maskani yao Jijini Dar es Salaam mitaa ya Msimbazi.Bao pekee la Simba limefungwa dakika ya 7 ya kipindi cha Kwanza kupitia kwa Winga wao Machachari Shiza Kichuya.

Mechi nyingine iliyochezwa leo ni Lipuli dhidi ya Mwadui Fc ambazo zimetoka Sare ya Goli 1-1.

Tazama Hapa Video ya Goli Hilo.


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply