MCHANGANYIKO

Kesi ya Hamisa Dhidi ya Diamond Yaanza Upyaa…!!!

on

Wakili Walter Goodluck ambae ni Wakili wa Hamisa Mobetto kwenye kesi dhidi ya Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz amefunguka baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo.

Goodluck amesema Kimsingi shauri halijafutwa na kimsingi sio kwamba Hamisa Mobetto ameshindwa hiyo kesi bali kilichotokea ni maswala ya uchapaji, kuna makosa ya kiuchapaji yalitokea na wenzetu wa upande wa pili wanaomuwakilisha Diamond waliweka pingamizi la kisheria kutokana na yale makosa ya uchapaji”

BOFYA PLAY KUPATA FULL STORY.


IPAKUE APPLICATION YA LINDIYETU.CO.TZ ILI USIPITWE NA STORY KALI KILA SIKU

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Recommended for you

Leave a Reply