News

Liverpool yafufuka na kuilaza Barcelona 4-0

Liverpool ilionyesha mchezo mzuri katika historia yake baada ya kutoka nyuma na kuilaza Barcelona kwa jumla ya magoli 4-3. Hii ni baada ya kupoteza kwa magoli 3-0 katika uwanja wa Nou camp, Liverpool ililipiza kisasi wakati Divock Origi alipoiweka kifua mbele timu hiyo.

Liverpool yafufuka na kuilaza Barcelona 4-0

Georginio Wijnaldum alifunga magoli mawili katika dakika mbili ili kusawazisha. Origi baadaye alifunga goli lake la pili na la nne kwa upande wa Liverpool kutokana na kona iliopigwa kwa haraka ili kukamilisha ushindi mkubwa.

Liverpool yafufuka na kuilaza Barcelona 4-0

Liverpooll sasa huenda ikacheza dhidi ya Ajax ama Tottenham katika fainali ya kombe la vilabu bingwa mjini Madrid mnamo tarehe mosi mwezi Juni.

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAPANA)
Tags
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker