News

Pakua Application Yetu Google Playstore yenye Muonekano Mpya

Pakua Application Yetu Google PlaystoreKatika Kuhakikisha tunakupa kilichobora Lindi Yetu imefanya maboresho kwenye Application yake na kuifanya ifanyekazi kwa ufanisi wa hali ya juu.

Hivyo ukiwa kama Mdau na msomaji wetu tunakushauri uweze Kuinstall au kufanya UPDATE Ili uweze kufaidika na Mabadiliko hayo.

Vifuatavyo ni Vipengele vilivyoongezwa kwenye kwenye Application Yetu.

*Notifications: Ukiwa na Application yetu utaweza kupata Taarifa pindi taarifa yoyote ile inapochapishwa kwenye website zetu Lindiyetu.co.tz na Kizomusic.com . Notification Imeboreshwa Zaidi.

*Share Button: Kutuma stori au habari kwa marafiki kupitia Whatsapp, SMS, Twitter na Mitandao mingine.

*Radio za Mtandaoni: Unaweza kusikiliza Radio zote kubwa hapa Tanzania.

JINSI YA KUPAKUA/ KUINSTALL APPLICATION YETU

Ingia Playstore

Katika BOX la kusearch, andika neno KIZO MUSIC

Baada ya Hapo Bonyeza INSTALL

Baada ya Hapo Bonyeza OPEN kufungua APPLICATION Upate Burudani.

BONYEZA HAPA KUPAKUA APPLICATION YETU

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAPANA)
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker