Wasanii

Producer Pancho Latino afariki dunia kwa ajali ya maji

Producer Pancho Latino afariki duniaProducer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama Mafia, amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama na maji wakati akiogelea jioni ya leo (Oktoba 9, 2018) kwenye kisiwa cha Mbudya, Jiijini Dar es Salaam.
Taarifa zaidi zitafuata. Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi Amen.
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAPANA)
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker